Mchekechoni
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 275
- 19
hope so....halafu siku nyingi hujatundika mpya mpya......btw hujambo wewe?Good hope wanapitia jukwaa langu pia :bange::bange:
hope so....halafu siku nyingi hujatundika mpya mpya......btw hujambo wewe?
Mic you swetie mie sijambo nilikuwa ng'onjwa last week ila sasa mambo mswano, jpili nije kupata mbuzi nahmu na nyamaa:happy::happy:
ooh dear...pole sana......njoo nikupeleke kwa mromboo kuna mambuzi manono utakula mpaka ushindwe mwenyewe....karibu sana
Nimebaki natamani huo mguu kwenye avatar :evil::evil:
kwani mnashangaa nn wkt wikileaks washasems hata facebook ni mtandao wa kijasusi wa marekani wanautumia kupata data wanazotaka,JF watanywea wenyewe hakuna unafiki hapa tupo wazi kuanika uozo.tena hapa jf kumjua mtu ni kazi kulikofacebook.