Extreme landing

LAPUA MAGNUM 338

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
431
Reaction score
1,225
Habari wakuu, naomba msaada jinsi ya ku hack hili game la extreme landing manake kuna lavel zingine cwezi kabisa kupita, nmepitia post kadhaa za wadau mbalimbali wakitoa maoni na kushauri app za kutumia katika kuhack off line games lakini cjafanikiwa, kwa mfano lucky patcher nkidownload inagoma kwamba its hamful to my phone hzo zngne ndo kabisaa, na mm napenda sana video games, mwwnye maujuzi wakuu, shukran sana.
 
Hiyo lucky patcher lazma sim iwe rooted..kwa maana hata freedom nayo inataka sim iwe rooted...hivyo root sim yako kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…