External speakers za laptop

Abuhamso

Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
42
Reaction score
20
Wakuu za mida. Back to point nataka kununua external speakers za laptop yangu aina ya Hp nienjoy mziki na movies Nikiwa bedroom kwangu.

So aina gani ni poa na bei yake ni sh ngapi. Quality & durable speakers. Shukran
 
Kuna speaker za wireless na za wire.

Pia unaweza kununua subwoofer ndogo ya 2.1channel .

Hapo kwenye subwoofer unawezatafuta za kodtec au kama unataka vile vi spika vidogo vya USB power basi kuna za Intex, Cliptec, promate
 
Shukran. Bado sijaju wireless na zenye wire bora ni zipi ndo ungeniambia nichague zipi.
Kuhusu hizo za subwoofer bei ni zipi?
 
Wakuu za mida. Back to point nataka kununua external speakers za laptop yangu aina ya Hp nienjoy mziki na movies Nikiwa bedroom kwangu.

So aina gani ni poa na bei yake ni sh ngapi. Quality & durable speakers. Shukran

Zipo nyingi za USB powered na bei ni kati ya 10,000-15,000 ila tatizo kubwa ni durability usitegemee kumaliza nazo mwaka bila kuharibika, tatizo ni maduka mengi ya computer accessories wanaleta mizigo ya bei chee na quality mbovu toka uchina.
 
Hizi bei yake si iko chini sana? Ungenionyesha na picha ingekua bora sana kama ukonazo. Shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…