Yesu si Mwana wa Mungu kulingana na ubaba wa kawaida wa binadamu. Mungu hakuoa na kupata mwana wa kiume. Mungu hakufanya tendo la ndoa na Mariamu, na pamoja naye kuzaa mtoto wa kiume. Yesu ni Mungu katika hali kwamba ni Mungu anajithirihisha kama mwili. (Yohana 1:1, 14) Yesu ni mwana wa Mungu kwa dhana kwamba Mariamu alipata mimba kupitia Roho Mtakatifu. Luka 1:35 yasema, Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
Pata utamu zaidi hapa: Fikra Pevu
You didn't know this Utamu wa Theologia
Assad has no chance anachoweza kufanya sasa hivi ni kumwachia mtu serikali aende zake Russia in exile pamoja na familia yake la sivyo ataishia kupigwa kama mbwa barabarani,maelfu wamekufa chini ya utawala wake na it doesnt matter ni yeye au mwingine aondoke tuu wengine waongoze nchi maana hakuna atakayemsikiliza
Max
Utamu upo hapa Bible Islam - Bible - A Closer Look
Mimi nilifikiri umekuwa kidogo kumbe bado. Soma hii: If Jesus is God, then who did He pray to?Max
Unajua kuwa Yesu(ni Mungu/mtoto wa Mungu/neno) alikuwa anasali na kuabudu Mungu?
Je wewe unasali na kumwabudu Mungu kama alivyofanya Yesu? Au unamwabudu Yesu?
Max
Mtafute kijana aliyepata division 0 umweleze na umuulize.
Mweleze kuwa "kuna Baba na mtoto wake."
Muulize "Je inawezekana mtoto na baba yake kuwa ni mtu mmoja?"
Max umeshawahi kupiga magoti na kuweka paji la uso wako ardhini unapomwabudu Mungu wako aliyekuumba(Mungu aliyemtuma Yesu)?
Mtoto na Baba yake wote ni Watu. ......
NOTE: Jesus is Not the Father. The Father is Not Jesus. Jesus is not Holy Spirit, inter-alia, Holy Spirit is not the Father. All three are persons but One God.
Endelea kupa kiwewe hapa; The Father is no complete without Jesus and Holy Spirit. Jesus is not complete without the Father and Holy Spirit, inter-alia, Holy Spirit is not Complete without Father and Jesus, YET all are independent and One in the Spirit.
Nonda: Injili ya Eisa ilishushwa kwa lugha gani? Taurat ya Musa ilishushwa kwa lugha gani?
Mimi nilifikiri umekuwa kidogo kumbe bado. Soma hii: If Jesus is God, then who did He pray to?
Now let us look at your deity:
We are told in the Quran that the Islamic deity prays for his followers, especially Muhammad:
link Surat Al-Baqarah [2:157] - The Noble Qur'an - ?????? ?????? Those are the ones upon whom are blessings from their Lord and mercy. And it is those who are the [rightly] guided.They are those on whom are the prayers (salawatun) from their Lord and mercy (rahmatun), and it is they who are the guided-ones. S. 2:157
link Surat Al-'Ahzab [33:43] - The Noble Qur'an - ?????? ??????He it is who prays (yusallee) for you and His angels too, to bring you forth out of the darkness into the light, for He is merciful to the believers. S. 33:43 Palmer
link Surat Al-'Ahzab [33:56] - The Noble Qur'an - ?????? ?????? Indeed, Allah confers blessing upon the Prophet, and His angels [ask Him to do so]. O you who have believed, ask [ Allah to confer] blessing upon him and ask [ Allah to grant him] peaceVerily, God and His angels pray (yusalloona) for the prophet. O ye who believe! pray for him (salloo) and salute him with a salutation! S. 33:56 Palmer
Now my question to you is this: If Allah is God, to whom was he praying?