Figo alishawahi hama kutoka Barcelona kwenda Madrid
Luis Enrique alihama kutoka Madrid kwenda Barcelona
Van Persie alihama kutoka Arsenal kwenda Manchester Utd
Yondani alishahama kutoka Simba akaenda Yanga, Nurdin Bakari, Okwi ......
Na kadhalika za kutosha
Nachotaka kusema sio mara ya kwanza na haitakua mara mwisho. Kama ni kweli akaenjoy mpira wake sisi wananchi tutamfurahia na makolo hakuna haja ya kuhuzunika