Naitwa Hamza ni Operator wa excavator nilikuwa natafuta kazi nina uzoefu usio pungua miaka mi4 sasa kwa yoyote anae fahamu wanapohitajika ma Operator naomba msaada wako kunijulisha.

Dah alaf deal ilikuwepo kuna operator mmoja alileta maringo wakati kazi imebaki kidogo ikabidi nikajifunze ku operate excavator kupitia YouTube
Nikamamizia kazi mwenyewe
ila kwa Sasa imepata operator mwingine