Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,435
- 6,405
Hahahah jamaa inaonekana wanaotea otea..hasa term hii maisha yalivyokuwa magumu kuna wengine wakiziona hizi jumbe wanaona basi wamepata ufumbuzi.Na mimi walinitumia hii hii SMS sijui walijuaje maana miezi sita nyuma nilimwelekeza jamaa angu kwa mganga
Mkuu wala usingemjibu,ni aina tu ya wahuni maisha yamewabana wanajbunia aina mpya ya upigaji.Daaaah mkuu hii text nishatumiwa nami nikajaribu kumpigia namba ikawa busy, nkamtumia txt kuwa amekosea namba
Nashangaa aise mwandiko tu ni shidaDu huyu mganga ni kanda maalumu nini?
Mimi mwenyewe nilitumiwa mpaka nikashangaa walipata wapi namba yangusasa nyie mliotumiwa hizo texts.hao jamaa wanatoa wapi number zenu?
R zimekuwa nyingi sanaNashangaa aise mwandiko tu ni shida
Wanabahatisha tuMimi mwenyewe nilitumiwa mpaka nikashangaa walipata wapi namba yangu