Du huyu mganga ni kanda maalumu nini?HABARI YA SIKU MUJUKUU WANGU NAKUFAHAMISHA KUWA NIMESHARUDI KUTOKA ZAMBIA NILIKOKWAMBIYA NAPELEKA DAWA YA KISUKARI KUMBE JITAIDI UJE UCHUKUWE ILE DAWA YA MIGUU NAILE YA BIASHALA IPOTAYARI UJENAMCHAGA WAMBELE YABISHALA ZOKO Naware Jirani Zako Wariyokuwa Wanataka Mari Wambiye Waje Na Mama Jeni Arikuwa Anataka Kuripiza Kisasi Naye Mwambiye Aje Radi Ipotayari
Mimi nilitumiwa hii nikajiuliza sana huyu MTU simjui ma SMS sikujibu, ningejibu nn sasa ili labda nitapeliwe kwa mfano?Mie juzi nilitumiwa hiiimekuwa ikiniumiza sana kichwa hapa ndo nimepata ufumbuzi.
Na mimi walinitumia hii hii SMS sijui walijuaje maana miezi sita nyuma nilimwelekeza jamaa angu kwa mgangaMie juzi nilitumiwa hiiimekuwa ikiniumiza sana kichwa hapa ndo nimepata ufumbuzi.
Daaaah mkuu hii text nishatumiwa nami nikajaribu kumpigia namba ikawa busy, nkamtumia txt kuwa amekosea nambaMie juzi nilitumiwa hiiimekuwa ikiniumiza sana kichwa hapa ndo nimepata ufumbuzi.
Ila hii ya kitambo kidogoMie juzi nilitumiwa hiiimekuwa ikiniumiza sana kichwa hapa ndo nimepata ufumbuzi.
Hiyo mbinu ya kutuma sms hivyo niliwatapeli mademu nikiwa 4m4 kuwa na mtihani wa taifa naishia kuwala nilikula wengi sana zawadi niliwafelisha
Sijui kwasababu sijapima na wengi nilikula pekuUkimwi ulikukosa?