Katika kuanzisha katiba mpya, hasa muundo wa muungano, ccm wamejidhihirisha kuwa wanafiki wakubwa mno. Hilo lipo wazi. Huwezi kuniambia unaipenda Tanzania na muungano wakati huohuo unakazania muundo wa serikali mbili, muundo ambao unatishia kuvunjika kwa muungano.