wewe utakuwa uko na alagie tu ndo inakuletea hio reaction ya kuumwa kichwaSijuiiona madhara gani...
Ila moe nikiinywa nitaumwa kichwa vibaya mno.....hivyo nadhani kuna kitu sio kizuri
haina madhara yeyote ila ni dawa I.e huwa kusafisha / kuondoa sumu mwili, damu, kuondoa uchovu mwilini na ni kiburudisho safi saaana weye endelea tu kutumia
Itakuwa.....wewe utakuwa uko na alagie tu ndo inakuletea hio reaction ya kuumwa kichwa
Sugar content yake ikoje? Tuanzie hapo kwanza. Mbona usinunue matunda ukatengeneza juisi yako mwenyewe nyumbani?Habari za jumapili GT nimeizoea sana juice ya lozea/lozela( mtanisahihisha jina kama nimekosea) ili kuepuka industrial juices na soda,lakin last week kuna jamaa alinambia zina madhara,nikamuuliza what and how lakn alishndwa kuniambia ye pia aliambiwa tu.Nimeleta mezan hapa jf kama kuna mtu anajua madhara ya hii juice aniweke wazi nichukue tahadhari. Mbarikiwe sana
Sugar content yake ikoje? Tuanzie hapo kwanza. Mbona usinunue matunda ukatengeneza juisi yako mwenyewe nyumbani?
Wewe endelea kusikilizia sisi tunaendelea kutumiaNajsikia tu hii juice
Wengine wanasema inapandisha presha wengine wanasema inashusha presha. Sina uhakika jama