sifikiri hivi, sitaki kuamini tunavuna tulichopanda ninaionea huruma na kutaka kuiombea nchi yangu ambayo tulipewa kutoka kwa mkoloni na mbeberu kwamba itasimama. ugaidi unaizamisha kenya kiuchumi, majirani wetu hawa lazima kutufedhehesha hivi sasa marekani inataka kuwatoa wafanya kazi wake kwa madai ya kenya kukosa usalama na kufungua ubalozi somalia. jambo halijatokea tangu jadi senate inatazamia jeshi la kenya kuenda ssudan to police wakimbizi wa ndani.
viongozi wetu wetu leo wanapaswa kujua strategy ya ukoloni mambo leo ya kuichafua africa kwa kulipia vita vya ssudan na propaganda za ugaidi kenya imerudi inaendelea kufua dafu licha ya kusimama na EAC strategy huku majirani tz na ethiopia wanapata mileage na kenya sasa is an unpopular destination kwa kutoa ilani kwa watalii kutozuru eneo zake. it is very possible kuizamisha kenya hawa makaburu. vyombo vya dola vinaendelea kuripoti kupitia mtandao kwa ulimwengu (kutoa habari za uchumi kudorora, ukabila, siasa) inaendelea kusaidia ukoloni mambo leo.