Masikini Africa inapiganishwa wenyewe kwa wenyewe maana hata vita nyingine haiwahusu lakini inabidi wakubali kuingilia.Sasa mungu ajaalie na huku kwetu tusije kuchonganishwa na jirani yoyote au tuliomo ndani.
Mungu ibariki Africa,Mungu ibariki Tanzania