chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,568
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea,nmekaa nae tokea saa 10 jioni kila nikimgusa ataki eti oh Dia nasikiliza bunge..
Nlikuwa nahamu nae sana since June tuliachana sasa tumerudiana analeta mambo ya Escrow.... Yaani nmefuraha hapa nasubiri kwa hamu liishe duh.

huo unafiki sasa.......Hongera kwa kuanzisha thread?
basi sawa kumbe watizama bunge na mchumba wako, ahsante kwa kutujuza.
We mzembe...na inabidi ubadili jina lako la chuma cha reli. Bora ujiite utando wa buibui.
Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea,nmekaa nae tokea saa 10 jioni kila nikimgusa ataki eti oh Dia nasikiliza bunge..
Nlikuwa nahamu nae sana since June tuliachana sasa tumerudiana analeta mambo ya Escrow.... Yaani nmefuraha hapa nasubiri kwa hamu liishe duh.
Tufanyeje sasa sie?
acha mawazo ya kizinzi...
Hapana nilikuwa nataka haki yangu mjomba...
Omba umeme ukAtike basis ili ufurahi vizuri
haki yako kwani hiyo k ipo mwilini mwako?