Escrow ikiingia tu kwenye lango la serikali basi game over

Joined
Sep 30, 2014
Posts
9
Reaction score
7
Sukuma sukuma Escrow inayoendelea inataka kuhakilisha Escrow inaingia ndani ya jumba la serikali.Ikiingia tu tukue game over kama yaliyotukuta kwenye Katiba.Kwa maana hiyo basi Wananchi amkeni.Tabia zenu za kusinzia ndio maana tunaibiwa mchana kweupe.Tizama movie hii ya jioni wawe wabunge mizigo kina Mariam Nassoro,Chombo,Ndassa ,Mtoto wa haramu Lusinde na wengine wanasukumiza zigo hili lipelekwe serikalini wachukuliwe hatua kama waajiriwa na serikali ENDAPO itabainika wameshiriki.Huu ni upuuzi.Tunataka vielelezo gani zaidi .Acheni kulala nchi inatakatishwa.Wananchi ndio watakaookoa jahazi
 
Reactions: DSN
Tatizo kubwa liko pale ikulu, mbaya zaidi bunge letu limejaa wabunge maslahi. Watanzania tutaendelea kukamuliwa mpaka kile kidogo tulicho nacho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…