Mkuu, hii model ya epson xp 600 na xp 605, ndo matatizo yake makubwa hayo, ya kutokutambua wino baada ya wino wa awalikuisha pia huwa zina kuwa na tatizo la ink pad error kila mara, lazima ununue keys kwaajiri ya ku reset upya.
Any way kama haujapata ufumbuzi wa tatizo lako nichek kwa 0766320252.