Epson stylus 1410

madumu

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
11
Reaction score
4
Naomba msaada wa jinsi ya ku un-lock printer hiyo (EPSON STYLUS 1410) inapojifunga (lock) maana hizi printer huwa zinajifunga baada ya kutoa copy kiasi fulani cha karatasi (printing) na kila moja huwa na idadi yake tofauti. Hii yote ni kwa sababu nimeinunua na muuzaji hajui jinsi ya kuifungua ikijifunga. Pia nasikia tayari program ya ku unlock imeshakuwa released please naombeni msaada wenu kwa anayejua hili tatizo langu.
 
miwe nko na cd,inayowezxa ku-unlock epson px660,720,725.km kuna mtu ako na tatizo hilo la inkpad,ani pm,nitamtumia software hyo kwenye email yake.kila inkpad,anaitumia hiyo bila kuingia gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…