Hahahahaha lol! nimecheka sana🙂🙂 naona nitaanza kuangalia mechi za Sunderland ili kumuona huyu njemba akifanya vitu vyake uwanjani. Midadi yake si ya kawaida ni burudani ya aina yake.
hata mie aisee, wakati akikipiga jamaa alikuwa akipiga magoli ya ajabu si mchezo!
Namkumbuka huyu alikuwa noma sana, itakuwa raha sana kama ataendelea kuwepo katika msimu wa 2013/2014.
Hata DVB alikuja na mbwembwe hizi hizi Chesiii lakini aliishia kutupiwa viragoHuyu ndie kiboko cha wachezaji. Kama huchezi mpira wa kueleweka anakutia magumi. Mwakani anatwaa FA na EPL crown.
Manure, Gooners, Loserfools, Chelshit, etc. kaeni chonjo
Hahahahaha lol! nimecheka sana🙂🙂 naona nitaanza kuangalia mechi za Sunderland ili kumuona huyu njemba akifanya vitu vyake uwanjani. Midadi yake si ya kawaida ni burudani ya aina yake.
Hata DVB alikuja na mbwembwe hizi hizi Chesiii lakini aliishia kutupiwa virago
Mkuu huyu bwana atawatesa sana vinara wa EPL mwakani
akiwa Westham aliwahi kuapa sipowatungua Man UTD atajiua...
Dah kama zali akamtungua Barthez