Wamepiga lakini yalipaa hayakulenga goli,haaaa haaaa haaaaManyumbu afanye masjabu gan ikiwa hapo OT hata shut moja golin hajapiga
Yohana 3:16
Hiyo ni nadharia Man Utd hawezi chukua UEFA na hata Arsenal hawezi chukua Europa full stopWadau, nawaza kwa sauti, kwa mfano ligi ya Uingereza ikaisha na top 6 zikawa kwenye nafasi walizonazo kama zilivyo sasa, yaani Liverpool, Manchester City, Chelsea na spurs zikapita kwenda champions league (top 4 teams) alafu Arsenal wakachukua Europa (bingwa hupata automatic qualification kwenda UCL mwakani hata kama hakumaliza top 4 kwenye ligi) na ikatokea maajabu Manchester United nae kabeba champions league mwisho wa msimu (bingwa hupata automatic qualification UCL hata kama hakumaliza top 4 kwenye ligi)
Je league ya Uingereza itawakilishwa na team 6 UEFA Champions league Mwakani? View attachment 1069329
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kipigoo amecho mpa napoli namwona kabisa arsenal Akifika mbaliHiyo ni nadharia Man Utd hawezi chukua UEFA na hata Arsenal hawezi chukua Europa full stop
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi kama bunge la JF na mimi kama Spika....tumeamua kutokushirikiana na wewe katika thread na comments zako kwa kutuita DHAIFUNaona badala ya watu kujadili nini kitatokea katika uwakilishi wa vilabu vya Uingereza kwenye UCL endapo nadharia tajwa hapo juu zitatokea, watu wanajadili mada nyingine ambayo ni ''Je, Man Utd atachukua UEFA mwaka huu ? na Je, Arsenal atakua bingwa wa Uropa ?''
Mimi Kama msoma comments natamka wazi kwamba wachangiaji hao ni DHAIFU.