Epison printer for sale

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
398
Reaction score
101
ni mpya kabisa ipo sokoni inaanzia 1.8m kuna bei ya maelewano pia....mawasiliano : +255765817854
 
ni mpya kabisa ipo sokoni inaanzia 1.8m kuna bei ya maelewano pia....mawasiliano : +255765817854

Mkuu hizi printer zipo hd za shikingi 40 Elfu.

Unapotuwekea brand na libei kubwaaa that much bila hata specification hv nn maana yake?

Haya specification tu assume huzijui, uneahindwa kupiga hata tupicha tuwili mkuu?

Au umelazimishwa kuuza ss unataka isinunuliwe urudi kwa akiyekutuma umwambue JF hujapata mteja? Kwa design hii hupati hata wa kukuuliza kama inatumia umeme au mafuta ya taa!
 
Kudos!!!!
 
Mwambie bwana, tusijesema sie tukaonekana hatuna pesaa
 
Picha tafadhali

Picha,model,unapopatikana

Kudos!!!!

Mwambie bwana, tusijesema sie tukaonekana hatuna pesaa

wakuu kwanza heshima kwenu woooote kwa kupitia uzi wangu...naomba mnisamehe kulikuwa na matatizo ya kiuandishi ni EPISON PROJECTOR na sio EPISON PRINTER...samahani saana kwa usumbufu....mawasiliano ni +255765817854
 
Mbona sioni mabadiliko zaidi ya mabadiliko ya device husika from printer to projector?

Projector haina specification pia?
Ni mpya au used?
Made in wapi?
Kama imetumika hw many hours?
 
Mbona sioni mabadiliko zaidi ya mabadiliko ya device husika from printer to projector?

Projector haina specification pia?
Ni mpya au used?
Made in wapi?
Kama imetumika hw many hours?

ni mpyaaaa kabisa
 
Hutauza mkuu, zingatia vigezo... picha, specifications etc au niyawizi mbona hutupii picha hapa?

haha haha....nimeupata ushauri wako mkuu wacha niwaletee picha zake na maelezo yake kwa ujumla....shukrani kwa kunikosoa mkuu...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…