Environmental engineering

Jhons Mallya

Member
Joined
Oct 10, 2020
Posts
6
Reaction score
1
Jamani waungwana ambae anajua details kidogo kuhusu hiyo kozi chuo cha ardhi.

Yaani kazi zake na ugumu au urahisi wake?

Msaada jamani.
 
In short hii course haina soko sana kuhusu ugumu ni miongoni mwa course nyepesi hazina mahesabu mengi. Utasoma zaidi mambo ya
Climate change
Global warming
Environment impact assessment
Biodiversity conservation
Statistics
Communication skills
Computer
Ecology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…