Ok,hatukushauri kiutani tupo siliasi pia, Unasema umemaliza mwaka huu chuo chenu hapo,kuna watu wana B.Eng ya Civil, B.Sc Civil pia hawana kazi,ila kazi ziponyingi sana ujenzi unaendelea kila kukicha,sasa basi acha uhongo kwanza kusema unezunguka sana mtaani hiyo sio kweli,umemaluza juzi tu,afu unasema umesota? Cheti huna labda Matokeo ya awali,sasa basi kuwa muwazi kwanza umemaliza lini? maana uzi wako nimeona una uhongo mwingi.