Engineer available for challenge

Sure! Hali ni tight cuz wasomi ni wengi na nafasi ni chache...kutoboa unahitaji uwe tofauti ya hao wengi. Pia kazi nyingi za siku hizi zinapatikana kupitia taarifa kwa marafiki na ndugu
Sawa mkuu kuna raia nilikutana ana 4.5 ananiambia nimuunganishe hata kibarua cha kufagia TPA nkamwambia hali tight siku hizi
 
Sure! Hali ni tight cuz wasomi ni wengi na nafasi ni chache...kutoboa unahitaji uwe tofauti ya hao wengi. Pia kazi nyingi za siku hizi zinapatikana kupitia taarifa kwa marafiki na ndugu
YAH MZEE BABA ACHA BONGO NYOSO
 
Watoto Wa Wa Eng. Paul gongo, mining haina issue sa hv ila komaa
 
fungua kiwanda si kwa sifa hizo, neda buzwagi ukanunue plot uanze kusaga mawe.
 
Ubalozi wa Marekani kupitia USAID wametangaza wanahitaji mtu kama wewe application ipo open kuanzia leo nenda kwenye website ya ubalozi wa Marekani Tanzania sehemu ya jobs utaiona na wameelekeza utaratibu wa kuomba,.nakutakia kila la kheri
 
Asante mkuu kwa taarifa. Appreciated!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…