engine ya toyota mark ii 4 cylinder

Mkazuzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
449
Reaction score
559
wadau,natafuta engine ya toyota mark ii iliyo kwenye hali nzuri,iwe ni 4 cylinder na ambayo haijafanyiwa overhaul,mwenye nayo aiweke hadharani nita pm mwenyewe nikiridhika na maelezo yake.nawasilisha
 
wadau,natafuta engine ya toyota mark ii iliyo kwenye hali nzuri,iwe ni 4 cylinder na ambayo haijafanyiwa overhaul,mwenye nayo aiweke hadharani nita pm mwenyewe nikiridhika na maelezo yake.nawasilisha

Nenda karume ziko nyingi sana mfuko wako tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…