Eneo linauzwa

Edwin Chapa

Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
54
Reaction score
12
Eneo linauzwa.lipo mbagara mtaa wa mwanamtoti lipo karibu na barabara lina lesen ya makazi,bei ni milion 18 kwa mawasiliano 0767979553
 
Eneo linauzwa.lipo mbagara mtaa wa mwanamtoti lipo karibu na barabara lina lesen ya makazi,bei ni milion 18 kwa mawasiliano 0767979553
lina ukubwa gani na mwanamtoti ndo mbagala ipi hiyo?
 
Mbagara ndio Mbagala?
Limepimwa?
 
Umelipia matangazo hapa jf?
 
Mkubwa, toa taarifa kamili wanaJF waelewe
 
LOL napenda MbagaRA. atakuja subirini

Eneo lina LESENI
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…