Eneo linauzwa

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,601
Reaction score
2,456
Habari wakuu.
Ninauza eneo lenye sifa zifuatazo:
Ukubwa: Ekari tatu
Lilipo :Morogoro, Dakika 20 kwa gari toka stendi ya Msamvu kwa barabara ya Dodoma
Jina :Kijiji cha maji chumvi kupita kihonda
Hati :Inafuatiliwa
Bei :Laki tano kwa kila heka.
Mazingira: Kuna kisima cha maji jirani na kiwanda cha kusindika nyama.
Mawasiliano:0713-039875 au 0784-976570
 

Mkuu eneo linapakana na highway?
 
HAPANA.LIPO DAKIKA TANO TOKA HIGHWAY.
 
mkuu kuna chanzo cha maji??? lina faa kwa kilimo??
Kuna kisima jirani. Kuhusu kilimo jirani yangu mwanajeshi (0786 048 348) analima ufuta. Pia kijijini hapo kuna kiwanda wanasindika nyama kama utakuwa mfugaji utawauzia, Karibu
 
karibuni.bado lipo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…