senkondomhina
Member
- Nov 14, 2015
- 8
- 0
Sifa zote ulizosema zinafanana na sifa za kiwanja cha kanisa katoliki.
Kilichopa Karibu na kituo cha Polisi.
Ebu tupia picha tuone, picha ionyeshe pia kituo cha polisi

umesema 75M ama nimeona vibaya nina makengeza ujue
Kama una makengeza utakuwa mzee wa vinjenti chenge
Hahahaha Chenge yule kwa 75M wala hawezikuona makengeza yeye labda hii 75 ingekuwa bilioni ndiyo angeona makengeza tena kwenye jicho moja tu