HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,669 Mar 13, 2022 #1 Wadau habari za jioni Eneo linauzwa Dodoma mjini...maeneo ya kikuyu South extension. Eneo lina square mitre 373 Lipo karibu kabisa na station ya treni ya mwendo kasi Kutoka eneo lilipo na barabara ya lami (iringa road) ni mita 100 Bei 9,500,000 Mawasiliano zaidi inbox tafadhali.
Wadau habari za jioni Eneo linauzwa Dodoma mjini...maeneo ya kikuyu South extension. Eneo lina square mitre 373 Lipo karibu kabisa na station ya treni ya mwendo kasi Kutoka eneo lilipo na barabara ya lami (iringa road) ni mita 100 Bei 9,500,000 Mawasiliano zaidi inbox tafadhali.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Mar 13, 2022 #2 Ngoja waje
TBOSS JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 266 Reaction score 391 Mar 13, 2022 #3 Documents gani?!
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,669 Mar 14, 2022 Thread starter #4 TBOSS said: Documents gani?! Click to expand... Hati....karibu Sijui nimeelewa swali lako vizuri?
Y Yaleyale JF-Expert Member Joined Aug 21, 2011 Posts 1,797 Reaction score 2,410 Mar 14, 2022 #5 Mkuu mna overrate sana Dodoma. Kikuyu sqm 1 iwe zaidi ya elfu 25 kweli? Anyway, watakuja wateja.
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 3,088 Reaction score 4,094 Mar 15, 2022 #6 Yaleyale said: Mkuu mna overrate sana Dodoma. Kikuyu sqm 1 iwe zaidi ya elfu 25 kweli? Anyway, watakuja wateja. Click to expand... Anazingua dalali huyo
Yaleyale said: Mkuu mna overrate sana Dodoma. Kikuyu sqm 1 iwe zaidi ya elfu 25 kweli? Anyway, watakuja wateja. Click to expand... Anazingua dalali huyo
TBOSS JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 266 Reaction score 391 Mar 15, 2022 #7 Madalali wenzio Instagram wanauza hili eneo 8.8million haya kila la kheri
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,669 Mar 15, 2022 Thread starter #8 TBOSS said: Madalali wenzio Instagram wanauza hili eneo 8.8million haya kila la kheri Click to expand... Asante kwa taarifa. Ishapata mtu.
TBOSS said: Madalali wenzio Instagram wanauza hili eneo 8.8million haya kila la kheri Click to expand... Asante kwa taarifa. Ishapata mtu.
Somoche JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 6,997 Reaction score 9,522 Mar 16, 2022 #10 hamna mtu bana wewe acha ulongo HOPECOMFORT said: Asante kwa taarifa. Ishapata mtu. Click to expand...
hamna mtu bana wewe acha ulongo HOPECOMFORT said: Asante kwa taarifa. Ishapata mtu. Click to expand...