Mashabiki wa Simba waliwatukana sana wachezaji wa Simba.Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.
Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.
Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.
Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Simba itabaki kuwa Simba..Hii.mechi ya juzi walijua hata kwnenye magroup ya watsup tutapotea ila ndo kwanza tuliwaambia waagize supu ya Pweza tutalipaHiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.
Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.
Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.
Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Ni Sawa Na Mondi awe anapambana kushindana views Na zuchu wakati yeye anafocus Na betSimba kumfunga mtani sio kipaumbele chetu tena, sasa hivi tunaitafuta nusu fainali ya CAF Champions League, pigeni kelele mpendevyo hatuna habari.
umesahau simba alifungwa na Mtibwa MO akatishia kujitoa mpaka akapigiwa magoti? MO akijitoa na timu imekufa3tHiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.
Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.
Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.
Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Ohoo vibogoyo mmeshaanza kelele!Kwani wao nani washinde kila siku?
Yaani watapasuka mechi 5 mwaka huu
Bado 3
Kama manara ametangaza kuacha kazi endapo mtapoteza hiyo ni dalili ya fukuto kubwa endapo ikitokea.Hiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.
Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.
Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.
Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Muda utasemaSimba hii sio ile unayofikiria mleta mada,Simba hii haiwezi kupasuka kwa kukosa f.a au kufungwa na Uto,hayo mambo bado yanatawala kwa Manyani f.c a.k.a Malalamiko.
Usimuamini sana yule, ni maneno ya kimpira tu hayo.Kama manara ametangaza kuacha kazi endapo mtapoteza hiyo ni dalili ya fukuto kubwa endapo ikitokea.
Sema sababu ya mwamedSimba hii sio ile unayofikiria mleta mada,Simba hii haiwezi kupasuka kwa kukosa f.a au kufungwa na Uto,hayo mambo bado yanatawala kwa Manyani f.c a.k.a Malalamiko.
Acha hizo wewe,mara ngapi mmefukuza makocha mkifungwa na yangaHiyo kufungwa tena inaweza kutokea, lakini kamwe Simba haiwezi "...kuvunjika vipande vipande..." kisa kufungwa Marw mbili, au tatu, au nne na Yanga, au na timu yoyote ile.
Ukitaka kujua hilo angalia reaction ya mashabiki, viongozi na wachezaji wa Simba baada ya game ya juzi, halafu fikiria kama ninyi ndo mngekua mmepoteza ile game, mngemshutumu kila mtu... sisi tunajua tumefungwa na maisha yanaendelea. Tunajua tutakuja tukiwa vizuri zaidi, na hata ikitokea hatujarudi vzr haituzuii kuendelea kuwa SIMBA.
Hivi karibuni hakuna game ilituumiza kama ile tulipigwa Nne na Kaizer Chiefs, lakini hatukuvunjika "vipande vipande" kama unavyosema.
Na hiyo ndo tofauti kati ya Simba na vilabu vyenu mavy mavy.
Boresheni Yanga yenu achana na simba, Fanyani yanga iwe bora kuliko simba ya sasa na sio kushangilia mwezi mzima ushindi wa goli moja, Kwa yanga ya sasa hata mngefunga simba mara mia ubingwa sahauNitafurahi sana kama simba itapasuka vipande na yanga kutawala msimu ujao
Kama ilivyokuwa kwa coastal unionMbumbumbu yanaonea dogodogo