Ha ha a..duh bado watu wanaingia mkenge tu na ujanja wa email ya mwaka '47
Hata Mzee wa Sauti alikuja na Kazi za Majuu! Anadai anawatu watatu.....kwi kwi kwi
Hata Mzee wa Sauti alikuja na Kazi za Majuu! Anadai anawatu watatu.....kwi kwi kwi
waTZ wanapenda sana shortcut mazee. Huu ndio ujinga wa mtu mweusi, tunapenda maisha mazuri bila kuyahangaikia.
Ni wote au baadhi yao maana umegeneralize sana kama ni wote na we si ndani au?
Please we kindly need your assistance in order to assist us to get more applicants who is ready to work in marriott hotels canada, we take care of your Traveling Air tickets and Accommodation. Any other documents requested by immigration remains for you to obtain, If you are interesting contact us with your CV via this Email address marriotthotel.toronto@yahoo.ca