Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Jun 29, 2012 #1 Chama gani kitachukua madaraka mwaka 2015?: CCM CHADEMA & CUF
tatanyengo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,133 Reaction score 282 Jun 29, 2012 #2 Emma. said: Chama gani kitachukua madaraka mwaka 2015?: CCM CHADEMA & CUF Click to expand... Naomba ujifunze namna ya kuandika threads ndo uanze kuandika. JamiiForums siyo jukwaa la kila anayejisikia kuandika anaandika chochote hta utumbo wa kuku. Umekera sana. Moderators mko wapi?
Emma. said: Chama gani kitachukua madaraka mwaka 2015?: CCM CHADEMA & CUF Click to expand... Naomba ujifunze namna ya kuandika threads ndo uanze kuandika. JamiiForums siyo jukwaa la kila anayejisikia kuandika anaandika chochote hta utumbo wa kuku. Umekera sana. Moderators mko wapi?
Mwiba JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 7,607 Reaction score 1,764 Jun 29, 2012 #3 Ngoma draw ,itakuwepo GNU