Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
- Thread starter
-
- #61
eti? Embe nyonyo? Ntalipata wapi embe? Embe embe au? Mkuu niweke sawa mana sie wa47 mmetuacha njia ya kupandia!
yametajwa maembe kibao mkuu bado ile kituo ilikupita? Sasa babu ile Gear wanayoita Reverse ina hatari maana nyuma katu haturiiiiiiiiiiii....njoo nikupe embe lililogundikwa wallah nalo kiama kwa utamu............
ati nije unipe embe,mgongo unauma mjukuu mie siji namtuma mwanangu mwajuma umpatie ati! Atakupa kizawadi kidogo nimemwagiza ukimpa embe basi akupe ati! Ni mia ya sarafu mjukuu!
mmmnh hapa naona sio maembe ya kawaida.....simo mie!
Karibu Mwajuma atiiii....nitampa bila shaka Babu, akitaka nitampa na yeye tule pamoja, embe gani babu nimpe? la shi mia babu halikutoshi mana litakuwa dogo, hutaki BOLIBO babu? Ok nitampa nyonyo akuletee babu....
mchungaji unajaribu kale ka njia ka wanadarisalamu kakutia Chumvi Ukakasi wote huusikia Mchungaji
God wants you to be holy and completely free from sexual immorality. mungu awabariki mtafakaripo haya.