Kutokana na watu wenye elimu nchini kwetu kuzidi kuingezeka nashauri kwa diwani elimu iwe angalau Form six, mbunge angalau degree moja na Rais angalau Masters. Mnaionaje hii?

Nakubaliana na ww Kishindo, lakini ikitokea ukamoata mwenye elimu na mwenye uwezo wa kuongoza inakuwa poa sana. Naamini asiekua na elimu bora ni rahisi mno kudanganyika.