ELIMU YA VYUO VIKUU UGANDA

The_dexter

Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
67
Reaction score
33
Habari wana jf, naomba kufahamishwa kuhusu elimu ya vyuo vikuu vya uganda, kikubwa nachotaka kufahamu ni je, wako vizuri katika kufundisha? na kwa upande wa technologia kama computer science na information technology wako vizuri? na elimu ya waganda ipo katika level gani kwa east afrika kama tulivyo zoea kwamba kenya wanatuongoza je wao wako nafasi gani, chini ya tanzania au juu ya tanzania. asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…