Elimu ya ufugaji wa bata mzinga

Hanjana

New Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Naomba mwenye utaalamu wa ufugaji wa bata mzinga anipe elimu. Nataka kufuga kibiashara
 
Ni wazuri ila wanagarama sana kimatibabu ni kama mtoto mchanga maana yanaugua ugua ovyo na kuvimba vichwa kama hauna uzoefu au kuwa makini na chanjo kwa kweli unaweza pata hasara sana kwa kubeba yalokufa
 
Pia kadri wanavyokua na uwezo wao wa kula unavyoongezeka! Inatakiwa ujipange hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…