NADA
Unazungumzia DEMOKRASIA au DOMOKRASIA?
Hapa Tanzania kinachoruhusiwa ni domokrasia na upindishaji wa sheria....mambo ya demokrasia ni mambo ya kigeni na hayafai kuigwa!!!!
Bado idadi ya watu wanaotaka demokrasia TZ sio wengi, ikitimia idadi basi mchakato wa kuelekea huko kwenye demokrasia utaanza kama vile ulivyotokea Tunisia!