T TOURMALINE Senior Member Joined Jan 4, 2013 Posts 125 Reaction score 25 May 27, 2013 #1 Ni ukweli usiopingika kuwa waislam wengi hawajapata elimu dunia.Sawa hii ni kutokana na historia ya ukoloni wa nchi hii.Kwanini wasipewe upendeleo wa elimu kama wanavyopewa wamasai?
Ni ukweli usiopingika kuwa waislam wengi hawajapata elimu dunia.Sawa hii ni kutokana na historia ya ukoloni wa nchi hii.Kwanini wasipewe upendeleo wa elimu kama wanavyopewa wamasai?
B BUNUNGULI Senior Member Joined Apr 4, 2013 Posts 192 Reaction score 37 May 27, 2013 #2 Naunga mkono hoja