Kagondo JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 296 Reaction score 79 Nov 29, 2016 #1 Elimu bure inayotolewa na serikali, kiukweli bado ni changamoto. Hii nikutokana na baadhi ya mahitaji kutokamilika kwa ajili ya kuweka mazingira chanya ya wanafunzi kujifunza au walimu kufundisha. Elimu Bure bado ina Changamoto - Utafiti
Elimu bure inayotolewa na serikali, kiukweli bado ni changamoto. Hii nikutokana na baadhi ya mahitaji kutokamilika kwa ajili ya kuweka mazingira chanya ya wanafunzi kujifunza au walimu kufundisha. Elimu Bure bado ina Changamoto - Utafiti
M mhhhhh JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 240 Reaction score 126 Nov 29, 2016 #2 Mleta mada acha kutupotezea muda maana unauliza swali ambalo jipu lake unalo!
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Nov 29, 2016 #3 umeuliza na ukajijibu we noma
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,737 Nov 29, 2016 #4 Bure ni gharama sana