Massawe909
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 310
- 472
Kuna kampuni inaitwa BATI service,IPO kawe beach,fika pale,ujaribu,Wanabodi wasalaam
Mimi ni fundi umeme mwenywe uzoefu wa kazi kwa muda wa miaka 8
nimefanya kazi sehem mbali mbali so nina experience ya kutosha kabisa
Natafuta kazi ambayo nitakuwa naingia shft ya jioni na kutoka usiku
Iwe ni kwenye mahotel au viwandani ama popote pale
Pia nipo tayari kufanya hata full time
Nipo dar es salaam
Naahidi kutoa nusu ya mshahara wangu wa kwanza kama asante kwa mtu Atakae kuwa tayari kunisaidia
Kwa mawasiliano
+255759733603
Nicholauss29@gmail.com
Nipo dar es salaam
Ok asanteKuna kampuni inaitwa BATI service,IPO kawe beach,fika pale,ujaribu,
Asante kiongozi hii kampuni ipo sehem gani mkuuNenda KIOO LTD wanaweza kukuchukua
Hofu yako ni nini mkuuNot 2, 8 years!!!!! There's something wrong
Kama hujui ilipo NpmAsante kiongozi hii kampuni ipo sehem gani mkuu
Kila mtu kwenye maisha ana vision zake na mipango yake usitake niishi kama unavyo waza wewe..Experience 2 years bado unahitaji kuajiriwa? Daah hii hatari, kuwa na vision ya mbele mkuu, hizi kazi jaribu kutafuta mtaji mkuu ili na wengine wapate
Mm niko apa kiluvya nahitaji ufanye wiring, nyumba ya vyumba 3 na sebule.Wanabodi wasalaam
Mimi ni fundi umeme mwenywe uzoefu wa kazi kwa muda wa miaka 8
nimefanya kazi sehem mbali mbali so nina experience ya kutosha kabisa
Natafuta kazi ambayo nitakuwa naingia shft ya jioni na kutoka usiku
Iwe ni kwenye mahotel au viwandani ama popote pale
Pia nipo tayari kufanya hata full time
Nipo dar es salaam
Naahidi kutoa nusu ya mshahara wangu wa kwanza kama asante kwa mtu Atakae kuwa tayari kunisaidia
Kwa mawasiliano
+255759733603
Nicholauss29@gmail.com
Nipo dar es salaam
Asante mkuuMm niko apa kiluvya nahitaji ufanye wiring, nyumba ya vyumba 3 na sebule.
Bei gani unafanya?