Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Usipate ta bu mpe kiroba kimoja cha konyagi, halafu safari moja akimaliza mpetena kiroba na koka baada ya nusu saa utakimbia wewe
 
11.condom
 
Pamoja na kwamba ejaculation ni response ya mwili baada ya stimulation kufikia threshold, lakini pia ni namna ya mwili kusave energy.

Kwa maana hiyo, kama una hypoglycemia (upungufu wa glucoce kwenye damu), ujue mwili mwili utaharakisha ejaculation ili usave glucose. Ndio maana watu wanaofanya mazoezi kwao hili sio tatizo sana. Ndio maana siku umekula vizuri (ugali is the best), dakika zinaongezeka). Ndio maana baadhi ya watu wanakula biscuits za glucose au wanalamba glucose yenyewe kabla na baada ya kila bao, ili kuongeza glucose mwilini.

Haya ya nyakula yatakuwa na mchango mdogo sana kama miili yetu haina uwezo wa kutoa glucose inayohifadhiwa kwenye maini (glycogen) na haraka kuibadilisha na kuitumia kama kutoa energy. Hakuna namna nyingine ya kuuwezesha mwili wako kuwa efficient kugenerate energy, zaidi ya kufanya mazoezi.

Conclusion; Kuwa mtu wa mazoezi. Mwanzoni itakufanya usipate kabisa ashki, but baada ya kama wiki 2 (haijalishi iwe umepunguza uzito au la, cha muhimu mwili uwe flexible and efficient) utaona jinsi utakavyokuwa good performer.

Mi huwa nasumbuliwa na tatizo kama la kwako, hasa pale ninapobanwa na makazi na masafari, nikajikuta nimeacha mazoezi. Wiki tatu tu za kutokufanya mazoezi hufanya performance yangu kushuka zaidi ya 50%.

Ikishindikana kwa mazoezi, waone wamasai. Mkuyati unasaidia (kama una tatizo).
 

Mvumilie tu, unataka kumwachia nani matatizo hayo?!
 
Mvumilie tu, unataka kumwachia nani matatizo hayo?!

Hi. i m a Asian doctor of naturopathy sex and herbal medecines are only way. To solve your problem i got to examine how u do it in detailef way. I got special oil herbal to be massaged on penis with a technique. I can teach u if u wNt help plz contact me . I also teach kamasutra lessions.
 

Wewe ulitaka akusubiri kwa muda gani?
 
 

WaliNazi, Pitia hii link - Weird New Method Of How To Last Longer In Bed. Kuna mtaalamu mmoja amechambua hatua kwa hatua jinsi ya kumaliza tatizo lako permanently. Unaweza pia kukunua kitabu chake. Achana na ushauri sijui wa kula karanga, au konyagi: Hizo ni quick fixes (if they work anyway.....) na kesho yake konyagi ikiyeyuka kichwani, unarudi kwenye tatizo lako,

Ushauri wa Finest pia mzuri sana. Performance anxiety ni tatizo kuu linalopelekea premature ejaculation.

All the best!!
 
Hapa sina la kuchangia maana mimi niko tofauti, na nilishawahi kuuliza hapa na sikupata jibu la uhakika.Kwa kawaida mimi raundi ya kwanza huenda kati ya dk 30 mpaka 45 kutegemea na siku lakini si chini ya hapo,na nikaomba kama kuna mtu anayeweza kunisaidia kupata dawa ya kuwahi japo kidogo.

Nilichoambulia ni baadhi ya watu kupinga kuwa hamna mtu wa aina hiyo,wapo walionipongeza,na wengine walini PM wahakikishe kama ninayosema ni ya kweli.

Lakini bado nauliza hivi kuna kitu chochote ambacho mtu anaweza kutumia kikaharakisha ejaculation japo kidogo.
 

poye mdada,,,,KUKIMBIA TATIZO SI KUTATUA TATIZO,!UNAWEZA MUACHA HUYO KAKA YT UKAMPATA WA DAKIKA 0!
Hili tatizo(PREMATURE EJACULATION) liko almost 90% ov thee men lakn kama unajua jnc ya kulicontrol u fit into the 10 percent.
TATIZO HASA NI HIZO PELVIC MUSCLE ZILIPASWA KULILAX ANAPOPIGA MZIGO.

NA ZIKITIGHT NDO PALE ANAMWAGA,so chakufanya anatkwa anotc pale sexual arousal inapotokea(anapokarbia kumwaga) inabd achomoe dick yk kwa muda mpaka hl ya kuchojoa ipotee afu aendelee kupig mzigo atajikta anaongeza muda daily,pia njia nyingn anaweza kubreath in deeply pale anapohisi kuchojoa hy nayo husaidia.

KAMA IKIWA TATIZO Sanaaa Mwambie Afanye KEGEL EXERCISE ambaso husaidia kuimarsha misuli.
Kingn mwambie awe anafanya mazoezi angalau ht kukimbia basi au hata mpira wtever basketball o football inamfanya awefit kias.
 
Kwa bao la kwanza kama anaweza kwenda mpaka dakika 5, mvumilie tu. Akimaliza hilo la kwanza mwambie mkaoshe mashine zenu them mpumzike. Baada ya muda anza kusema na mike aka kipaza. Lazima mashine isimame na goli la pili litachelewa kuja na wewe utafika kileleni. Ikishindikana ni pm nitakuelekeza umwambie jamaa aje kuchukua kitu ya Kongo. Ni dawa ya unga ambayo atapaka kwenye kichwa cha uume na baada ya dakika 20 au 30 atasikia inawasha. Atakwenda kuosha na atakuwa tayari kwa mchezo ambapo anaweza kwenda mpaka nusu saa bila kukojoa bao la kwanza. Akitumia mara kadhaa itamjengea kujiamini na baadae hataihitaji tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…