Nafikiri hata Tanzania itakuwa hivyo hivyo February 4, 2011 na Maandamano ya CUF February 7, 2011. Wanajeshi wakiona jirani zao, wake zao, wajomba zao, watoto wao, na hasa wazazi wao. Sijui kama watadhubutu kupiga risasi si watauwa familia zao? Wanajeshi nao ni binadamu ingawa tunajua kuna wahuni wasisiem ndani ya jeshi letu...