Egypt to collapse?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,608
Reaction score
14,552
Egypt army chief warns of 'state collapse' amid crisis



Egypt's army has been deployed to cities along the Suez Canal where the violence has been at its worst



Egypt's armed forces chief has warned the current political crisis "could lead to a collapse of the state".
General Abdul Fattah al-Sisi, in comments posted on the military's Facebook page, said such a collapse could "threaten future generations".
He made his statement following a large military deployment in three cities along the Suez Canal where a state of emergency has been declared.
More than 50 people have died in days of protests and violence.
In response, President Mohammed Morsi has cut short a planned European trip.
Source -BBC News

MY TAKE:

Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Morsi ameonywa again and again kutokumbatia hao Islamic Fundamentalists lakini wapi.
Natabiri ataishia kama Mubarak-jela! Kama antapata bahati hiyo, but as it seems, pamoja na kurudi kwa curfew,mapambano yatakuwa mabaya zaidi kuliko Tunisia.

UPDATE:

Jeshi la Misri limemtangaza Morsi kuwa si rais tena wa Misri.
Katiba ya nchi imewekwa pembeni na uchaguzi mpya wa bunge uta fanyika.
Morsi yuko chini ya ulinzi.

 
Jamaa wana andamana kila kukicha na hawafanyi kazi, nchi imesha collapse hiyo, heri hata wakati wa Mubarak kulikuwa na discipline.
 
wana JF I predicted thr fall og Morsi way back in January 2013.

As of today July 2013 the army is staging a coup.
 
Jeshi la Misri lime mwangusha Rais Morsi na limechukua uongozi wa nchi.
 
Original plan ya maadui wa Misri ilikuwa ni kuisambaratisha hii nchi na kuigawa baada ya Sudan.

Mambo hayakuwaendea kama walivyotaka kwa sababu ya kuondolewa Mubaraka ila inaonekana kuwa hii ndiyo plan B yao ya kuisambaratisha Misri.
 
Original plan ya maadui wa Misri ilikuwa ni kuisambaratisha hii nchi na kuigawa baada ya Sudan.

Mambo hayakuwaendea kama walivyotaka kwa sababu ya kuondolewa Mubaraka ila inaonekana kuwa hii ndiyo plan B yao ya kuisambaratisha Misri.
Mkuu Sideer, hao maadui zake hawakumpangia Morsi awabebe Muslim Brotherhood na sera zao,msingi wa kutoridhika wananchi
 
Mkuu Sideer, hao maadui zake hawakumpangia Morsi awabebe Muslim Brotherhood na sera zao,msingi wa kutoridhika wananchi
Mursi alichaguliwa na wamisri na alikuwa akijulikana ni nani!
 
 
Last edited by a moderator:
Egypt ni nchi ya kiislam,
Ila kuna diferrent factions depending on thier extremism.
Morsy anatoka kundi la muslim brotherhood, extremists, for years wamekuwa oppressed na serikali ya Mubarak kuja kuresurface baada ya Mubarak kuondolewa.
Majority of egyptians are moderate Muslims ndo mana hata waarabu kutoka Saudia na kwingineko ambako msimamo ni mkali wnakuja kula maisha Cairo.
na hawakumuunga mkono Morsy especially after November alivopitisha several declarations pinned in the Brotherhood angle.
So this is one of the reason, of coz ukiweka na economy, umeme na maji cuts ambapo wakati wa Mubarak wamisri walikuwa hawajui mgao.
 
Kitu kizuri kuhusu Egypt ni kuwa " Justice" sijui ndo kule bongo tunaita Mahakama/Judiciary is it totaly independent body kama tulivosoma shuleni.
Sio kwetu bongo ambako iko "chini ya Executive".
Na jeshi lina autonomy fulani, wana council yao inayohusika na kupandisha vyeo, kupanga wakuu wa vitengo na mkuu wa majeshi si kuwa anateuliwa na rais, The council is responsible for mchujo and forward to the president for the approval.
Kumbuka, Gen. Asis who just ousted Morsy was appointed by Morsy thru the same channel, just like Gen Tantawi who ousted Mubarak less than 3yrs ago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…