Edward Lowassa Mtu wa Watu!!!

Hiyo KUFULI Yenye FUNGUO Inayoonekana Hapo Nyuma Ni Ya Mlango Wa Chooni Nini Labda Kasahau Kuurudishia Mkuu? Si Unajua Tena!

wakati mwingine. Heshima ni bora kuliko ujinga ndugu. Uchaguzi umeisha kila mtu amweshimu mwingine uo ndiyo utu na utanzania mkuu wangu.
 
GENTAMYCINE........kwa nini uwe hivyo....???hebu jisikie aibu kwenye nafsi yako kuwa hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo KUFULI Yenye FUNGUO Inayoonekana Hapo Nyuma Ni Ya Mlango Wa Chooni Nini Labda Kasahau Kuurudishia Mkuu? Si Unajua Tena!

Uchaguzi umekwisha, Magufuli ameshinda kihalali na kila mtu moyoni anajua hivyo na pengine anafanya makubwa kuliko ambayo huenda Lowassa angeyafanya. Nikuombe tu heshima kwa Mzee maana Mungu anakuona na hujafa hujaumbika.

Ni mimi Malezo kukuletea habari hii
 
Last edited by a moderator:
GENTAMYCINE........kwa nini uwe hivyo....???hebu jisikie aibu kwenye nafsi yako kuwa hivyo.

Kuuliza Si Ujinga Mkuu au? Nimeiona KUFULI Hapo Nyuma Yake Imening'inizwa Sasa Mimi Kuuliza Tu Kuwa Labda Katoka Nayo CHOONI Na Pengine Kasahau Kuirudishia Pale Mlangoni Na Kufunga Ni KOSA?
 
kuna kipindi huwa natamani kuuliza elimu za baadhi ya wachangiaji....!!! not more than std 7.
 
Nina kila sababu ya kuamini wewe ni MUUNGWANA na ni nafsi yako na MWENYEZIMUNGU tu ndio wanaojuwa dhamira yako.
 
kuna kipindi huwa natamani kuuliza elimu za baadhi ya wachangiaji....!!! not more than std 7.

Hata Mimi Pia Huwa Kuna Kipindi Natamani Kuuliza Kiwango Cha UTAHAIRA Walichonacho Baadhi Ya Wachangiaji WANAFIKI WALIOTUKUKA Humu.
 
Hiyo KUFULI Yenye FUNGUO Inayoonekana Hapo Nyuma Ni Ya Mlango Wa Chooni Nini Labda Kasahau Kuurudishia Mkuu? Si Unajua Tena!
Kutumia FAKE IDs hapa ndani kusitufanye tukose uungwana na kuandika ujinga kila tunaposijisikia.
 
Hiyo KUFULI Yenye FUNGUO Inayoonekana Hapo Nyuma Ni Ya Mlango Wa Chooni Nini Labda Kasahau Kuurudishia Mkuu? Si Unajua Tena!

Kubenea mwaka huu lazima atamnyoosha huyo makoda wenu ndio atajua nini ubaya wa kubebwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…