Ntaganda boy
Member
- Jan 16, 2016
- 90
- 59
kwenda kusoma mkuuKuchukua? Au kusoma?
Nashukur maana napenda zaid counselling & ppsychologyMambo vululu vululu, zamani ngekuambia kasome education sahivi aah angalia unachotaka wewe
Sikusoma sayans na nmechaguliw udom kwa kozi ya education in counselling and guidance na chuo pia cha Iringa kozi y a counselling and psychologyNingekushauri kama ww ulisoma Science combinations soma Bsc. Education vingineyo tafuta Bachelor of Education (Early Childhood ) ndo hot kwa sasa
Jaribu hapo UDOM kama kuna B.Ed (Early Childhood) waweza badilishaSikusoma sayans na nmechaguliw udom kwa kozi ya education in counselling and guidance na chuo pia cha Iringa kozi y a counselling and psychology
IPO ntajarb mkuu ahsant kwa ushaurJaribu hapo UDOM kama kuna B.Ed (Early Childhood) waweza badilisha
Kama ipo tafadhali omba kubadilisha.ni kozi ambayo ina uhitaji sana nchini na dunianiIPO ntajarb mkuu ahsant kwa ushaur
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuchukua? Au kusoma?
Vijana wanadhani degree ni kwenda na kuichukua tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]