Hawa madogo nimeamini kweli ni yamoto
Maana jana london kiliwaka. ..waandaaji
Pia walitisha sana. .kwanza show ilifanyika
Ukumbi 5 star na show ilikuwa Live bila chenga. .sijawai kwenda kwenda kwenye show nikaenjoy vile...madogo wanakamua nonstop
Live kucheza na kuimba vizuri mno..hawa vijana wana bright future sana