Of course kila mtu ataenda kwenye shamba la bibi.So ni nchi ipi ya Maziwa na Asali katika EAC....(Wapi wengi wanataka kwenda)?
Ona Nyang'aus walivyo na nyege za kuja kwetu
My beloved country TanzagizaSo ni nchi ipi ya Maziwa na Asali katika EAC....(Wapi wengi wanataka kwenda)?
Usisahau kutuleta warembo wa Ki-Kalenjin...hhaha.. tuna uchu na bongo, wacha tugure tuje huko tuwaoneshe kucheza dili. mmezubaa sana na kutanguliza uswahili
Usisahau kutuleta warembo wa Ki-Kalenjin...
si unajua according to you guys hatuna wasichana warembo, tutakuja tu madume tu saidiane nanyi hao vidosho wenyu.
mbona chaurembo, cheusi mangala wangu ni mkenya? we smatta vipi bwana!!
Mara yamwisho nimeangalia documentary nimeona nyie jamaa ile ardhi yenye rutuba wazungu wanajilimia maua na ma peez wakauze kwao wakati nyie mkilia njaaaaaaa njaaaaa na kile kaardhi kadogo mlicho achiwa kimejichokea ndo wakenya halisi wapiganiahhaha.. tuna uchu na bongo, wacha tugure tuje huko tuwaoneshe kucheza dili. mmezubaa sana na kutanguliza uswahili
hahaha.. ati cheusi mangala hahaha acha utani aise. mnafaa mkija Nairobi mnitafute, hii kitu mnasema Kenya hamna watoto warembo sijui mmetoa wapi.. hehehe
hahaha.. ati cheusi mangala hahaha acha utani aise. mnafaa mkija Nairobi mnitafute, hii kitu mnasema Kenya hamna watoto warembo sijui mmetoa wapi.. hehehe
Njoo tukupumlie kisogoni! Ndiyo malipo ya wazamiaji!
Thats gay son, I ont roll like that. tafuta watu wa umri yako utaniane nao. pambafff
hahaha smatta your responses are legendary son.