Hata kama sisi siyo watu wa vitendo, kuna watu wa kujifunza kutoka kwao lakini siyo Wakenya. Tabia za Kikenya kenya, kiwiwizi na kikabila kabila na zisifike hapa Tanzania, kwa wale wanaowa-admire, hawajatembea na hawawajui. NGO/ Amani Forums wamepanga kunadamana dhidi ya maamuzi ya ovyo, woga wa bunge kuchukulia hatua mafisadi lakini serikali inaogopa na inajaribu kuyazima, soma Tanzania Daima ya leo. Halafu,Kiswahili is more Bantu than arabic, kwa wale wasiojua kama Smatta. Mkenya kama Smatta atajuaje Kiswahili kuliko Mtanzania? Upo hapo bro?