Haya nyamazeni sasa!
Ikiwa upo unaitikia "Jana" na "Leo"
Mifwedha Mfukoni.. "Hayupoooooo!
Mihela Waletini.. "Mtoooroo!"
Mikwanja Mtaani "Hayupooo!"
Mitonyo Yadili "Hayupoooo!"
Minoti Benki "Kahamaaaa"
Milioni 50 kijijini "hutumjuifiiii"
Mpunga Maskani " Mtooorooo"
Ukata bin Kukata ringi "NIPOO MWALIMU"
Laifu Taiti "JUZI... JANA NA LEO...."
Hawa watoro waambieni
Wakija wanione ofisini... "WASINIJARIBU"