Ni kweli kifo kinaogopwa dah leo baada ya kupata dalili fulani nikaona isiwe kesi acha nizunguke kwenye youtube nikapate uahauri kidogo wa video za madocta wa youtube
Nilichokutana nacho hakika nimepona πππ
Watu wanaumwa katika dunia hii kuna magonjwa mengine hayana hata majina unakuta mtu ana comment dalili zake za ugonjwa unao msibu kuliko kumuonea huruma unajikuta unacheka πππ hee Mungu tusaidie