kijana mwenyewe anajichubua na kupaka poda, angemiliki mwanamke kweli?Dulla Makabila alipompata Zai mbwe mbwe kibao leo kiko wapi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa ninavyoona haraka haraka Dulla ndiye aliyempenda Zai ila Zai wala hakuwa na mapenzi kihiiivyo Dulla.
Pia ukichunguza kwa makini Zai haikuwa akili ya kawaida ku date na Dulla ni ile kukurupuka baada ya kutengana na bwana wake ndipo akaangukia kwa Dulla tena ndani ya muda mchache mnooo.
Masikini Dulla ,rasta kanyoleshwa akaamliwa anyoe kipara akanyoa,wigi kaveshwa lakini bado kapigwa kibuti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa alikuwa kama zezeta kwa Zai , mwenyewe utamkuta kwenye show anawaambia mashabiki zake "Nikisema Zaiii mnasema Lisa,Zai Lisaaa ,Zai Lisaaa " leo sijui itakuwaje maana ana show lakini amejawa na mawazo mno.
View attachment 2696399
AmeachwaaaHivi Ameachwa au ameacha?!
Zai mwenyewe nyapu inasoma 120000 kmDulla Makabila alipompata Zai mbwe mbwe kibao leo kiko wapi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa ninavyoona haraka haraka Dulla ndiye aliyempenda Zai ila Zai wala hakuwa na mapenzi kihiiivyo Dulla.
Pia ukichunguza kwa makini Zai haikuwa akili ya kawaida ku date na Dulla ni ile kukurupuka baada ya kutengana na bwana wake ndipo akaangukia kwa Dulla tena ndani ya muda mchache mnooo.
Masikini Dulla ,rasta kanyoleshwa akaamliwa anyoe kipara akanyoa,wigi kaveshwa lakini bado kapigwa kibuti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa alikuwa kama zezeta kwa Zai , mwenyewe utamkuta kwenye show anawaambia mashabiki zake "Nikisema Zaiii mnasema Lisa,Zai Lisaaa ,Zai Lisaaa " leo sijui itakuwaje maana ana show lakini amejawa na mawazo mno.
View attachment 2696399
Isije ikawa kiki ya nyimbo mpyaAmeachwaaa
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔So what?
Ukiwa unainba sengeli wewe ni wa kienyeji sana, usihangaike na classic chick's, hutodumu nao.
Kwa wakiwnyeji wenzako, dera ni vazi la kutokea, kwa ushuani dera ni vazi la kufanyia kazi za ndani, hata msibani hatuvaagi
3 tu wajuba mnasema ana tatzo ngojeni hta angalau zifike 5 hivi rolmodel wake yuko huko mashamshamSure ni demu wa uswahilini tuu hata muonekano wake unaonyesha hvyo
Kama kashindwa ndoa tatu ..kuna shida mahali
KabisaaaYaaani Ndoa imefanyika Charambe Huko uswahili kabisaa,yule anaonekana mswazi afu mswazi Tena....!!!
Wapinga DPSamahani wakuu.....
Kwani hao ndio wakina nani huko daslam...[emoji848]
Wewe ambaye sio mbea umefata nini humu?Daaah! Zamani wanaume tulipimwa uwezo na ujasiri kwa kuua simba, sasa najiuliza mleta mada angeishi zama zile tungemuweka kundi gani? Mwanaume unakuwa mmbea!! Inashangaza sana
Inawezekana kwa kweli maana Hawa wasanii wetu kwa kupenda kiki hawajamboIsije ikawa kiki ya nyimbo mpya
Huyu dem sasa naanza Kumwelewa Ochu muuza simu alichokuwa anafanyaDulla Makabila alipompata Zai mbwe mbwe kibao leo kiko wapi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa ninavyoona haraka haraka Dulla ndiye aliyempenda Zai ila Zai wala hakuwa na mapenzi kihiiivyo Dulla.
Pia ukichunguza kwa makini Zai haikuwa akili ya kawaida ku date na Dulla ni ile kukurupuka baada ya kutengana na bwana wake ndipo akaangukia kwa Dulla tena ndani ya muda mchache mnooo.
Masikini Dulla ,rasta kanyoleshwa akaamliwa anyoe kipara akanyoa,wigi kaveshwa lakini bado kapigwa kibuti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa alikuwa kama zezeta kwa Zai , mwenyewe utamkuta kwenye show anawaambia mashabiki zake "Nikisema Zaiii mnasema Lisa,Zai Lisaaa ,Zai Lisaaa " leo sijui itakuwaje maana ana show lakini amejawa na mawazo mno.
View attachment 2696399
Tupe ubuyu, huyo Ochu alikuwa anafanyaje?Huyu dem sasa naanza Kumwelewa Ochu muuza simu alichokuwa anafanya
Ochu alikuwa anamshushia vipigo vya hatari Dem kikipigwa kinaenda kupost makovu instagram. Alichozingua ochu ni alimpa mimba na bado akawa anaendelea kumpiga na kuna Moments alikata nae mawasiliano dem kilienda kwa Ochu mvua ikiwa inanyesha mwamba Hakufungua mlango akamwacha dem nje . Ile Mimba ilikuja kuharibika mwishoni na nafikiri Ochu alifanya vile Maana haikuwa ya kwake. Alichozingua tu Ni kumpiga mwanamke mjamzitoTupe ubuyu, huyo Ochu alikuwa anafanyaje?
MWANAMKE CHEAP, USED, NDIO CLASSIC TENA?So what?
Ukiwa unainba sengeli wewe ni wa kienyeji sana, usihangaike na classic chick's, hutodumu nao.
Kwa wakiwnyeji wenzako, dera ni vazi la kutokea, kwa ushuani dera ni vazi la kufanyia kazi za ndani, hata msibani hatuvaagi
Ndiyo huyo Mkuu hata sielewi anawachanganya na kitu gani!!Huyo Zai ndo huyoo kwenye paja lililokomaa kama Skudu au