Duka linauzwa

Km atajibu hili swali atakuwa ametoa mwanga mzuri wa hili duka!
Hapo no 50k
Naona kama hajiamini amini, kikubwa ninachokiona hpo ni kwamba hakuna mzunguko mzr wa wateja na ndio maana anatumia mda mwingi kulala dukani, pia ukiangalia hvyo vitu kuna ambavyo vipo kama vilivyonunuliwa yaan hakiuzwa ata kimoja. So kwa atakaenunua ni vyema akafanya research ya kutosha ikiwezekana ata kushinda maeneo yale ata kwa siku kadhaa kuusoma mchezo kimya kimya bila jamaa kujua.
 
Sababu zilizo njee ya uwezo wako ndo zip!? Jusije tukanunua ikala kwetuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…